Alafu akienda kwa jamaa wa kupima weight na yeye amechikora latiri inagawa kilo kadhaa. Everyone is robbing everyone. You have to be corrupt to even out the scales
[MEDIA=facebook]id=716752416079338;type=video;user=KaranguMurayaMc[/MEDIA]

What’s the bottle for?
Uliza @Yuletapeli yeye ndio alikuwa anaendaa goiiii.
Ethics is almost nonexistent in Kenyan businesses.
What’s happening here?
:D:D:D that explains the difference between working hard and working smart.
Jamaa wa kupima weight ata shindwa niaje hio mali ni nzito.
In 1999 tulikuwa na grao yetu ya futa tuliita old Trafford kando yake kulikuwa na msee alikuwa na base ya kupima vitu ka ma plastic, ma katons, ma chupa na kadhalika, kuna gari ilikuwa inazikujia every week. Venye nmeona hii video nmekumbuka ma papers na ma katons zikikujiwa alikuwa anazimwagilia maji sahi ndio nme elewa ilikuwa ni ku ongeza uzito.
Hata butchery Ile digital weighing is heavily rigged. Try placing your palm one day and see yourself weigh 5kg without even pushing down some weight on it.
Hii kenya ni mungu tu. From groceries kupigwa spray,maziwa kuwekwa maji na chemicals,kuku kudungwa dawa za kufura,… Too much kwa food industry. Sema kurewind mileage za magari… The list is endless. Kama vile elder amesema apo juu, everybody is robbing everyone.