Kila Friday

Panyaste lazima akule kukuste… Baadaye akunywe beerste mbili tatu hivi alafu aende out. Are we together? Enjoy your weekend y’all
[ATTACH=full]185906[/ATTACH]

:D:D wanacome…

sawa tumejua umekula kuku leo sasa delete thread…

Just like old days

Kuku za antibiotics na growth hormones achana nazo. Ukitamani kuku tumana ingo uletewe natural kuku.

Unachoma picha izi njaro za kupiga chakula picha ni za slay queens na mamboch.
Cheza chini saitan!!!

Unakula hivi alafu ,uende kukunywa Gilbeys ? ndio maana mahangover

hiyo ni kuku au ni charcoal?

Shule watafunga lini ?

Panya hii.

Siwezi ambia watu kama nimekula hivi, leave alone kupiga picha.

Ghasia

Panyaste wapata Panyasteress lini? Hii stori ya takeaway ya junk food nomareste

Jigraniste akiwa pare gerndoraste akichangamkia kukuste

Ukienda out, chungana na AIDSeste…

Hii ni chakula kweli?

Afisa hii ni chakula ya maabusu kule majuu

Unakaa kwa bedsitter ,unategwa na charger unaangukia sufuria ya githeri,githeri inamwagika kwa choo.

Sema chakulaste avandeste

https://lp.vg/emoticons/smilielol.gifhttps://lp.vg/emoticons/smilielol.gif
Ukienda kujishikilia ndio uamke unavuta flash githeri inazama inapotea bila kuwacha sign

:D:D:D:D:D:D Mko na ujinga sana.

midget usiwahi tuwanikia chakula cha watoi hapa tena,brare fukin shiet