Hii live fence elder ndio nina zungumzia..
[Kuchanua elders tu..]
Hii kitu ni swafi saidi
Tuliletewa kutoka south Africa
Runguats.. hawkers bana!!
Unaweza nyonga na juice yake?
You see Our bros from the mountain have no B in their consonant chart. B is substituted with Fiii, Letter S with TH, like Thoda for Soda and Etc
You are shaped by your environment. Mimi sioni shida hapa. Bora tunaelewana.
and it’s not cheap. If you have it kwenyu, save the yellow fruit, dry in the sun and germinate them, ina soko
How long do these fuckers take from planting to fruition? Kuna tatu nilipanda kwa ranch in 2021 na mpaka wa leo bado nangoja mpaka matumbo imeanza kuumia.
About 5 years to get to like 7 feet, just ensured they’re watered like twice weekly during dry season
Nazingojea sana.
Tafta kijana wa kuzi twist ujaze kwenye kuna gaps
Ukitaka kushinda mkikuyu mwambie tu aseme ‘parallelogram’. Doesn’t matter who it is, they’re gonna sound like their mouth is full of rocks kama @Straw_man na beshte yake @Chifumbitika.
[quote=“Yuletapeli, post:1, topic:604713”]
…Hii ndio

Uko na utoto mwingi sana pamoja na umama.
Kuna kama kamesimama elder
Kindly note the scientific name ni Dovyalis afra. Walibadilisha kafrra because waliona ni derogatory.
Hii plant ni hard buana, ata panga yako iwe sharp aje, uwezi kata ata a small branch with one sweep
It’s a good fence to keep off elephants from our horticultural farms near mt kenya forest.