kijiji

i have noticed for the past few days no much posts have been coming to the village. …what happened ama watu walihama

How many have you posted?

4 Likes

Nimeona watu ni ma CSI unapeana hekaya plus photos kumbe umejianika

how long have you observed this?

5 Likes

na hizi nmepost

Ngapi?

kweli, leo hata @cortedivoire hajapost latenyte poll

1 Like

DCMA

Wasee waliboeka juu ya gazeti. Ikabidi mpaka ma new villagers go bonkers.

watu wamagatheti walima