Kijiji national blackout

Admin tunaona blackout zimeenea mpaka kwa kijiji sasa. Ama ulikuwa umeenda Xmas na keys za servers?

1 Like

Banae :sweat_smile:

1 Like

Nomareh

Turedio meffi wewe

Uko Nairobi wasiito wakiwa seut africa?

Kumbe hiki kijiji huwasaidia wengi wasipate depression.

Most of us like the diversity of ideas

1 Like