Kijiji iko chonjo Wadau

As you can see on the banner above…
Thanks Wadau for your continued support.

@administrator amefanya kazi Buana.

[ATTACH=full]498298[/ATTACH]

Bei ya waru sio 150 Mdau.

Hapo sawa. It’s definitely faster. Lakini fix hiyo search function.

Mnaweza tengeneza a special category ya hype and propaganda na mmweke hii thread huko?

[ATTACH=full]498367[/ATTACH]

watu wa hii forum mnanogwa hii kitu ufanye jf unakula ban ya mwezi

Still can’t upload videos or block people

I can see copy pasted Twitter.

Mbona pic haziload kwangu? Am using chrome for android