Kijiji cha ang'o

Mbona uwesmakende nowadays is so bitter in his replies.Ama ile kijiji yake haiendi vizuri the way he expected

4 Likes

:Dshesha shini ama upigwe equator through osmosis.

1 Like

:D:D You’re not helping either. Unafaa once in a while unafika huko…unashtua wochi alafu unarudi.

Navy Seal alidhani youthful hairstyle itabaki milele.
Akaamka siku moja akapata nywele imerecede na two inches.
Saa hii anaquestion hadi lineage yake.
Denial.
Hata wewe unaweza kasirika kidogo.

3 Likes

nywele ime secede kutoka kwa kichwa yangu banaaa

1 Like

:D:D:D
Usijali.
Quality ya ideas itaimprove tenfold.

tenfold ni wewe

Kalale. Panya hii.

1 Like

Ata wewe huwezi furahi ukiwekelewa bonnet kwa kichwa mpaka watu wanakubatiza X6.

kwa mafala