Kijana skiza kwa makini!

Ukiambiwa " [COLOR=rgb(184, 49, 47)][SIZE=7]kama uko sawa basi toa CD[/SIZE]" usikubali ata kama ni tamu ama tight vizuri, jua tu hiyo huwa ni sauti ya shetani. Wakati zingine mungu hapeani second chances!I

Ni hayo tu! :smiley:

Leta hekaya mwanakijiji

Meza ARV polepole kama @Staff Member

Bring the abunuasi story and others

Ushenzi ni kupost nakucheka on your own jokes

Kula fiti ,piga tizi na umeze madawa ,ukitoa condom hatukuskia utamu na wewe:D:D:eek:

Pitia pale ccc nitaambia nurse akujazie ya miezi tatu usikue unateseka kurudi

mzee rudi huko klist ghassiaa

Ukisikia hako ka sauti ongeza cd actually

dawa sikunywi, lakini mitishamba natumia kwa wingi.

β€œI think” nilipewa second chance.

Hizo dawa ni muhimu, lakini ni poa kujikinga mapema

Miti shamba ni poa saidi

unajua gani ya kuongeza maisha?

Gingo biloba , an Asian herb , very good in anti aging and immunity , also wash your face of with apple cider vinegar you will remain young like mzee @kanguthu born in 1962

Naona the plant (Ginkgo biloba ) is out of stock in Kenya. Nitaisaka!