Amefinya mgonjwa (vulnerable adult) akiwa Group-Home care ameandikwa akimchunga
Dryspell imefanya yeye kufinya wale wagonjwa anachunga.Inasemekana amekua akimfinya(consensual) akiwa night shift shida ikakua wakati another female Resident alitaka kufinywa pia!Woi wacha walimane wamama mangumi ikakua police case ndio mambo imefichuka.
Cash Bail ni 2.8 million


