Kihii oriji mwisho.

Ukipii wangu ulikuwa mob nikiwa class three. Luck happenned when my elder bro did his kcpe and he had to pass thru the cut. Sasa ilibidi hata mimi nitolewe hako kanyama hizo maseasons. Joto likapungua lakini upii kidogo ulikuwa unanusumbua coz ya age.
[SIZE=16px]
Sasa maisha ya pale raima class three ilikuwa mawe kwangu. Siku ya kwanza pale shule ambayo nilipigwa transfer kama kawa ilikuwa maasessment. Ka interview hivi ili ionekane kama nimeiva kuwa class 3.[/SIZE]

I rem this funny ticha we had nicknamed "Mr Soto Kithanda". (A big rat that eats macadamia and has the upper teeth protruding outwards while the lower teeth are a few centimeters inside). He had grey hair plus he was left handed. Huyo mwalimu alikuwa na ukithanda hivyo. Soto ilikuwa shortform ya kushoto. Ndiye alitwikwa jukumu la kunipiga msasa pale. Sasa nilikuwa nimepelekwa na mathy. Tukaingia kaofici flani hapo next to staffroom interview iendelee mathy akabaki hapo nje.

Nikiulizwa maswali nilikuwa naongea kama ile teje ya National Star ikiwa na battery mpya za Everready.

Majina yangu yoote plus ya wazae nikajibu faster faster kisha nikaulizwa ile club napenda sana. Nikasema scouts club. Another test ilikuwa nirecite ile national anthem. Nikaambiwa nirecite kwa sauti.

I cleared my throat then started croaking at the top of my voice:

Oooo ngooodofoo chris eeeston,
Bres thisawa lavad neeelson,
Jugs mbi awa sooodaas difeeeda,
Mary edwin winity,
Piiisant ribaty,
Prenty mbifao rwithinawa booodas…

Kumaliza tu hivi ile kicheko ilianguka staffroom hapo next. Hata sikujua walimu walikuwa wanacheka nini.

Kithanda; Very good. Umesema unapenda scouts, soon you will be recruited. Lakini lazima uimbe wimbo mmoja wa scouts.

Sasa kuna ile ngoma ya scouts tribute to the famous scouts leader…Lord Robert Laden Powell.
Nikapiga saluti kisha nikagongesha miguu chini Mara mbili kama jogoo vile hufanya ikitaka kupandilia kuku. Nilikuwa full of energy. Nilijitolea Kwa nguvu yangu yooote like my life in that school depended on the scout part.

Me; Attis! Arat! Atis!..ateenson!
Maaark time.!!!

Nikaendelea kupayuka nikimatch[I].

Twamkumbukaaaa mseee wetuuuu Rodaden Paawaleri,(lord laden powell)
Alikufaaa akasikwaaa huko Nyeri,
Apana pururee purureee purureee,
Apana pururee purureee purure.
Open the way the skauti ara kami,
Open the waaay the skauti ara kami. Heeep hep. Change your step.[/I]

Nikagongesha miguu chini tena nikapiga about turn.
Interview nilipita hivyo mathe akalipa fee akajisort zake home. kisha nikaambiwa niende nikatafute class three East.

Kufika ile class nilipata kwamwalimu kamwanamme kafupi. He had an exergerated head that looked like an inflated balloon. He also had large flabby nose or I should say knobs covering half his face. Tumiguu tulikuwa tunakaa twa stove. Alikuwa “amebatizwa” [B]Njege/B coz ni kakali kama pililipili. Sura ilikuwa inakuonyesha tu haka huvuta kyombitho na kujitia malocal leaker. Hakuwa anapenda ujinga.

Kuingia class tu hivi nikapewa frontseat next to kadem Corinthian hapo na nikaambiwa nifanye hesabu kumi zilikuwa kwa blackboard. Sikuwa na pencil instead Mr Njege alinisaidia na pen. Dakika kidogo nilikuwa nishaaikula kifuniko. Hiyo tabia sijui nilitoa wapi. Hata kurarua pages zingine kwa kitabu nikikula. Njege kuniona alinipatia exercise book ya 80pages nikule yoote iwe funzo kwangu na wengine.

Sera ilikuwa unachapwa viboko kulingana za zile wrongs utapata. Mbio mbio nikamaliza mahesabu huku Njege akaenda round akimark.

Pale back bencher kulikuwa Na kijana mtundu na mjinga tu design ya Karis. We called him Nduthi. He had one eye kama ile taa ya pikipiki. Jicho moja alitombolewa sijui ni bahati mbaya ama mzuri na mamake kutumia ile broom ya sticks akichapwa sababu ya kukataa masomo. His dad was the main supplier of kyombitho izo maarea plus alikuwa mgema wa kusifika kijijini. Mwalimu Njege was a frequent visitor of kina Nduthi’s Den.

Vile Njege alimark kazi ya Nduthi alipiga nduru ki mwenda. Alikuwa amepata zero out of ten. Alipomwangalia uso akashutuka zaidi. Akakunja sura huku amevaa macombination ya alama ya mshangao pamoja na alama za dukunduku.

Kumbe nduthi ndiye alikuwa waiter wa Mr Njege pale kwao kwa base. Ndiye alikuwa anamtilia “Muratina” plus makyombitho hivi. Aliangusha kiboko akapiga makofi kisha akarudi steps mbili nyuma. Kwa mshangao akamuuliza Nduthi.

"Kumbe kiviici niuthomaga??? Ona ndigukuherithia
"
(Kumbe kipii huwa unasoma. Hata sitakuadhibu).

Akimaliza tu hiyo statement nikadrop the bomb. Nilicheka ile earcracking laughter ya kimadharau…“kwe kwe kwe pwahahahahaha”. Every other pupil was silent. My surprise ilikuwa kwani hizi Noogle hazicheki. Kumbe mimi ndio Ng’ombe. Njege akaturn at a lightning speed akauliza ni nani huyo. Ma-Iscariot class mzima wakaninyooshea vidole. Njege kubaff kakanirukia mbio. Sikujua class yake alikuwa amepeana warning hakuna kucheka.

Maslaps left-right plus viboko ilikuwa inanimwagikia kama mvua. Njege alinifukuza class bana na ni day yangu ya kwanza ati niendee mzae. Badala ya kuenda home I went to the other school. Pahali niliacha kina Karis. Breaktime nilisneak through the fence tukaenda kufukua makorofia(avocados) kwa plantation ya kahawa na Karis. Cheki Hekaya Kipii oriji Reloaded.

12 Likes

badoo uko na uhii…

1 Like

Avai, Ng’ano iko sawa.

1 Like

Uliisha bro

hahaha…safi hio hekaya

1 Like

:slight_smile:

Thanks…I needed this

1 Like

Hahaaa we mundu wagurukire tene avai

1 Like

Imeingia roots sasa

1 Like

Ni kwa ndarai mutoru mbegu mani

Robert Baden Powell.

1 Like

Seen bro

1 Like

National Anthem Kali sana.

2 Likes

Salute!

1 Like

hekaya swafi

1 Like

smarti sana, umenichekesha mbaya.

1 Like

Hehehehe.
Hiyo anthem jo.

1 Like