Kiherehere Kasongo flies out again

1 Like

Ameenda kuborrow loans to steal. Meffi

1 Like

Ameenda kuoshwa damu…angalau aongeze miezi

3 Likes


:joy:

Hio story ya kuongezewa damu hunishangaza sana, engine ndio huwa inakunywa oil na ndio huitaji top up…sasa huyu msee kwani hukunywa damu kama engine jameni? Siku moja ghaseer ita knock walai

1 Like