Kigooco Friday

hizi songs huinua roho yangu sana

[ATTACH]258597[/ATTACH]

This is a classic.

https://www.youtube.com/watch?v=qcWSKKooBPo

Hii hapa huguza mutu mpaka unaisikia kwa ma-heke, my extended familys’ theme song, lazima ichezwe at every get together, naipenda sana.

https://www.youtube.com/watch?v=HmUWl9ZARi4

My nephew and nieces love it, you should hear them sing, it cucu wao akenaga muno

What’s wrong ma broda!!!..kigooco on a Friday night??? Are you okay?.. Is everything fine?..

niaje mungiki

poa sana my tiny friend,what’s up popeye?

Cheki unaweza wacha kuniita tiny friend coz we are not friends and am not tiny. Mimi ni weider. Na ile siku tutapatana utajua haujui…meffi ghashia takataka

Daughter wangu wa 3 years huiimba word for word, yaani ziumrarukia mpaka mkono moja anainua juu kwa hewa na ingine anaweka kwa kifua.

Halafu hii hapa huchezwa na ma-aunty wangu wakiwa mitungi, zinawararukia mbaya…

Twende kesha

Niaje Weider? Nirushie €€ nishike Kasenge.

[ATTACH=full]258629[/ATTACH]

Amen. Hallelujah. Rathimwo mûno brother.

Kigooco kimurutio.