kigelia africana- mîratina

Friends we want to prepare mûratina but we are novices at it. Is this thing fully okay to use in preparation
[ATTACH=full]111229[/ATTACH]

my friend enda utafute wazee wakufunze namna ya kuchagua na kutayarisha miratina la sivyo utapata concoction inaweza ponya malaria…

Wengine wanangoja chang’aa na wewe unajisumbua na muratina…

wueeeh!

:D:D:D:D:D, Saw what you did there!

wasn’t me…ni Engineer @inzhener otmetka hapo juu…

…hehe the difference is the same.

@Meria Mata saidia huyu ve kabla apigwe fines na vs’s

Mine is being prepared by the local headman… 30litres of bliss

:D:D Babuon tibim…Joshua tibim

Hii kitu ukitengeneza ikose kuiva vizuri mtahara vibaya sana. I know shimo mbili tatu Ndumberi za watu wanapika kama uko interested kununua kitu imeiva. Lakini uoge kwanza…hehe.