Nice @Kill The Buzz
Ingia Tribeca ukunywe bill yangu mblo…
ahsande but macho yangu bado haijakuwa safi @anonymous60 okolea sisi MOMO addicts .
na ile siku mtu ataweka mbicha ya dem wangu hapa nitachoma inbox yake .
asande sana @Kill The Buzz. Macho iko sparkly clean kama headlights za volvo
Barikiwa sana @Kill The Buzz…wajua umegurumisha jincheng kama kumi na hizi photos? Kwanza @introvert hajanawa mkono na amegurumisha
Hehehe…
Zii.
Leo nilikuwa prayer day ya introvert Jr anafanya KCPE so ilibidi nikuwe msafi kidogo.
Nipewe hii kazi wallahi
This is the Team mafisi Sacco village HQ.Nasafisha Macho mbisha ina ng’aa
:)![]()