[ATTACH=full]433430[/ATTACH]
Sawa salonist. Invest in good paint
Sema polepole buana
Bora kienyeji inuke mzuri ndo dry fry baadaye
:D:D:D:D.
Nimeona wanaume mabinti lakini kama wewe sijawahi ona.
Hizi ni zile ghasia za kupeleka bibi salon…upusss…peleka bibi tao afanye shughuli zake akimaliza akupigie peleka yeye nyumbani…kabla amalize tafuta kitu ya kufanya…enda hata meza chupa tatu banae
Ile umama na ushoste iko hii kijiji jo!!!
this guy must be regretting posting this…mwanaume bwege huyu aiseeh…
ghaseeer. no regrets, kienyeji ioshwe Kwanza,.
Meza Clorox
Watengeneze guild yao complete with matching deras iitwe Mother’s union