KIELEWEKE, HAKUNA DENI

hata mimi nimekubali hakuna deni mbali ni ahadi,lakini wadau si ahadi ni deni? Uncle ruto 2022 liwe liwalo

Liwe liwalo!!

wakanyaks ulitajirika?si ununue prime plots somalia unaeza angukia moja iko na dithuru utajirike

bado sijatajirika lakini niko na hope

@Motokubwa hata akitajirika hawezi change lifestyle. Mtura na ugali lunch lazima, when sitting on several usd millions kwa bank.

sio mitura ,sema boerewors

Ongea na uncle yako wagathecha kabla 2022

I tried that thing pale Naivas ,Westlands and it smells kama iko na washing powder .Maybe it’s the handling .

mtura original lazima iwe chafu kiasi,mara ya gotondira iwe haijamirio poa,usioshe masufuria na steel wire,