[MEDIA=twitter]1009056219162660864[/MEDIA]
[MEDIA=twitter]1009068139282300928[/MEDIA]
Aache upumbavu wa kusema tumelaanika wote! CCM na washirika wao ndo wamelaaniwa!
Na wao wamechoka sasa ila nao ni unafki tu kwanini hawaondoki huko CCM?
mkama kweli wamechoka inabidi wa apply ule usemi ‘CCM sio baba yangu wala mama yangu’.
Kabisa mkuu.
Ama kweli, sasa tumefika hapa!
Hahahah!!! Hapo akishakidhi vigezo ndio unamtupia ndoano
Tunatakiwa kuishi kama mashetani
Huna habari?!
Aisee÷eeeeeee
Hatar sana
huyo jamaa ni mmoja ya watu waliompigia sana debe JPM kule twitter. acha na yeye aanze kuisima namba.safi sana.