Kidney sell

I went to my home town last weekend and nilikutana na former Sch mate and I was shocked by what she was going through. Nilishidwa vile nitamsaidia or which advice to give her. That’s the reason am turning to you villagers. Let’s us call her Mary.
She is married with one kid. She is first born of four. Baba yake alikufa the year she got married. Mama yake ali ndanganywa na akanunua shamba kumbe ni ya wizi. one year down the line, she decided to sell the land and pay Sch fees of her two children who were still in Sch.
She sold the shamba and the one who bought the land started developing it.
Hapo ndipo balaa ili anza. The real owner akatokea
. Yule mtu alikuwa ameuzia mama Mary shamba akatoroka from the town na simu akiwa off. The son of the real owner is in police force and someone senior in vigilant house. Mama ya wenyewe alipelekwa akafika. Mary aliongea na mwenye shamba na wakakubaliana that Mary have to buy that land from the real owner for them to drop the case. The other person who was developing the land also gave Mary conditions. One Mary refunds his money with interest or Mary anunue shamba kutoka kwa mwenyewe lakini shamba haitakuwa ya Mary itakuwa ya developer. If not that he will file a case against mama Mary juu ya kumuuzia shamba ya wizi. Sema kuwa in fix. Mary agreed with 2ND condition.

Mary is a house wife so pesa hangepata to get her mother out and pay Sch fees for her siblings. Her husband stepped in and agreed to help his in law. He had a talk with the owner and developer and asked them to be patient atafute pesa and to have his in law released. 2 yrs down the line he had saved 1.2m to pay and have the case dismissed from the court. That was in the year 2013. Mary husband said every cent he used should be counted as dowry and Mary relatives agreed.
Now out of no where Mary husband wants to be repaid all the money used. Mary Mother never recovered financially since that case. But thank God kijana amemaliza college and last born is in f4. For the last 2 months Mary is stressed coz everyday her husband is demanding his money. she is just a form four leaver it’s hard for her to get a job. before she got married alikuwa ana work and her husband convinced her to quite. She doesn’t want to stress her mother she have decided to sell her kidney and pay her husband then file for divorce,instead of him stressing her.

Villagers help her with advices.

Is there any written agreement ya kupea in-law pesa kama dowry ,tuanzie hapo.

Why would you sell your kidney? Italeta pesa ngapi? Hata heri auze coomer

Auze damu kwanza… Kidney baadaye

hapo huyo bwana yake ako na ujinga if he agreed to pay anaruka nini . ambia Mary apate ball azae , amwambie hamulipi na arudi kwao na watoto na a sue for child support .

Selling organs is a crime. Anzia hapo.

Let her divorce the man and pay zero … na ka Mary amestand mconnect na @uwesmake …matteroffact, hata ka anakaa chura ya sewage mconnect na @uwesmake ju huyu jamaa Ana njaa nyingi sana ya kuma

Sad sad sad. Does she not have any paperwork vile aliuziwa hio land na conman? That should have been her defence na waende court…

Anyway that man should not stress her na asiuze kidney yake. Arudi nyumbani tu roho safi

  1. She should look for the original con. And hire debt collectors.
  2. Look for a lawyer to figure out if she’s legally mandated to pay back her hubby.
  3. Does she have kids? If so, file for a divorce and custody plus child support

Why did Mary’s mother accept responsibility? They should look for the original con and have him pay.

Na Mary arudi kwao.

What if she told the husband to go drying?

buroti maguta maguta… anyway, ange kubali kushtakiwa na aende afungwe miaka kadhaa for fraud and spend a fraction of that 1.2 to secure a light sentence na aondokee story.

Buroti maguta maguta manenos.

Like @Thagichu amesema, Mary aambie the huband thie ukiumaga! Na ashike njia zake.

Mimi hushangaa. Sasa hapa shida iko wapi?

Gakuyo manenos
Ekeza manenos

:D:D:D:D:D:D bingwa kuwa mpole

kama mary ni greek mwambie alambishe huyo bwanake pamba. wanaume kama hao nduo hatutaki kwa hii kenya…unalipa aje 1.2m kwa mother in law…ujinga tuu

This entire situation can be summarized in one word: stupidity. Kweli wajinga waliwao.

guys don’t give these bitches ideas. huyo Mary alipe 1.2m ya wenyewe… hata kama ni dowry that money is enough dowry for 10wives.