Kibarani Today

@mabenda4 hivi ndivyo mambo yako, hope usha pita.
[ATTACH=full]17547[/ATTACH]
[ATTACH=full]17548[/ATTACH]
[ATTACH=full]17549[/ATTACH]
[ATTACH=full]17550[/ATTACH]

Jam imefika Saba Saba…

[ATTACH=full]17552[/ATTACH]
@bjurmann weka hizo mbisha zako boss alafu tukutane jambo village for lunch

1 Like

Leo ni kubaya, note there is no traffic on the road to town, guys are walking. ole wako kaa ulikua waenda airport.

hio pipe kubwa @Meria Mata inabebaga nini?

ilikua ya crude oil but its unused now. tungekua tumechota na mitungi

2 Likes

:D:D:D:D

Uuuui joto Mombasa. Afadhali Malindi.

1 Like

Leo uko Mombasa pitia foodcourt tukule lunch

1 Like

Asante @dangerman nitakungotea one of this days

Sisemi kitu! :(:frowning:

[ATTACH=full]17569[/ATTACH] [ATTACH=full]17570[/ATTACH]

jamaaaaaaaaa ni reporter