kibandaski

Leo lunch nimeikulia kwa kibandaski ingine inakuanga karibu na place ya job. Tunaendanga na Bernice place fulani inakuanga mbali kiasi na job na yeye ndo hulipia food lakini juu leo alikuwa ametumwa kudeliver reports flani sides za Kabete nikaona wacha tu nitajisort. Nilikuwa nimeplan nijibonde na nipige vector mara hyo nifiche rada. Lakini kufika huko kitu niliona nilijipata nimekaa huko pia. Nilipata kibandaski imejaa which is unusual coz siku mingi tunapitianga hapo hakukuangi hata na watu. “Customer ingia naeza kupea chakula gani?” “wacha niamue ntapewa chakula gani, ebu yenye iko nichague”. I decided to go with Ugali Nyama. My friend wacha huyo matha wa kibanda aniletee food, nilijua ni kwa nini iyo kibanda ilikuwa imejaa. She was in a short black mini skirt exposing her kinda yellow thighs.

Wasee wa mjengo walikuwa wanasafisha macho ile sawa sawa. Msee anapewa food anaikula na 30 minutes. She isn’t that pretty or either ugly yaani ako tu hapo kati kati in simple terms ako edible, she also doesn’t have that big body ako na mwili tu iko at least. Alafu akiinama kukupea food unaona hizo matiti inabaki pia wewe umesafisha macho. Kwanza alikam akainama akiosha sahani weeh hapo alikill. Tumesafisha macho niaje. Kuna hadi msee wa mjengo aliitisha round two ndo aendelee kusafisha macho. Kuna mwingine alikam akapata kumejaa. Akenda akarudi after 15 minutes bado kumejaa na watu ni wale wale. " Aaiii kwani nyinyi hamtoki?", “We tafuta kwingine, unasumbua”, kumbe pia yeye alikuwa anadai kusafisha macho.

Huyo mathe leo aliamua strategy ingine poa ya kuwaleta. Btw she’s not that old ni mathe wa miaka 29. Niliona id yake ikiwa juu ya mtungi akiwa anaosha vyombo.

She’s a dryfry material. Siezi mind. Huyu najua akipea talkers hapa hakuna mwenye atakataa.

1 Like

Kama huna mbisha hii upus jiekee

4 Likes

[ATTACH=full]146252[/ATTACH]

but kuna mahali hapo upperhill naendanga kuchafua OBUSUMA KWA OMENA tamu sanaa mpaka naongezwa sembe sosa nikirudi kw ofisi nikubarizii tu kama @kush yule mnono akipnguza rasa ya mwarabu .

2 Likes

TULISEMA JANA TUKASEMA TENA LEO ASUBUHI SAA NANE SAA TISA NA TUTASEMA TENA…
KAMA SI HEKAYA LETA EFFIDENSE NUGU!!

2 Likes

:smiley:
Kazi ni kazi lakini kuna zingine hazileti shangwe. Kuosha digda ni one of them kwanza kama wewe ni mwanaume

1 Like

 noma sana. By any chance unaeza kuwa brother mkubwa wa @Mosa?

Liars are normally too detailed…trying to give their lies some credibility.

2 Likes

Akuna siku