KIATU NUMBER 12

Sometimes back when I was young and naive, mimi na beste yangu tulipewa our salo na mhindi huko industrial area. Tukasema wacha tuchafue hii Nairobi like other men. so Tukaenda Tanager pub kwanza tukunywe beer cheap before tucheckout club za maana baadaye. After sometime we left for Troppez sijui saa hii munaita nini but bouncer kwa entrance akadai ati leo ni over 26 years ndio wanaingia. Tukasema hao wametosha pesa wacha tuangalie velander kwani ni nini. kufika huko bouncer pia ni ngombe wanadai 30 years and above tukajua sisi ni watoi thoo tulikua 25 hivi.
As we were descending those stairs some two ladies kindu 40 years were going up wakatuliza why we were leaving tukasema tumekatazwa entrance. They asked us to accompany them watasema sisi ni boyfrineds wao. Within no time tulikua ndani with some mamas who were buying beer like no body business and dancing with them like tumejuana since we were kids. At around 1 Am the ladies wakasema they are leaving but lazima twende pamoja nayo pombe had taken our thoughts kabisa and we obliged. Kufika huko nje they had parked their car and tukaanza safari to where hatujui but niliona Chiromo lane nikajua atleast bado tuko Kenya. tukafika kwa apartment fulani kila mtu akashika mtu wake mimi nikaenda left boi wangu ata sijui alienda wapi but aliniweka trust condoms kwa mfuko tukiwa kwa gari. Wacha niingie kwa nyumba ya mtu na kuanza kibarua kama tractor ya John deere. Wee threshhold nilifikisha before 4 am and then i dozed off.

Kitu 8 asubuhi nikajiskia kwenda loo hapo ndio shida ilianza. There was a shoe rack kwa side which i never saw the previous night na kulikua na viatu kubwa sana kitu number 12 pair kama 4. nikajua niko kwa ndume na nikipatikana hapa ni kunyongwa. Sema kumiss hio call of nature nikavaa nguo haraka sana na kutoka. Kwa sitting room kulikua na family pictures on the wall na potrait ya jamaa in military fatigues. nikaenda down stairs mpaka kwa gate soja ananiuliza nimetoka wapi nikamshow mimi ni mgeni house number 14 akadai wacha a call to confirm which he did na nikapewa rights ya kutoka. nikiwa huko nje ndio nilipigia boi wa mine akasema nikama anapikiwa breakfast after a tiresome night nikamwambia tupatane monday job. Hapo ndio nilijua kumbe mwanaume anaweza kua chipo.

10 Likes

Ulichipiwa na ndume!!

1 Like

hehe

kwa hivyo ulikula bibi ya Jamaa wa Army. Hatarr!

Hii inasound kama Jerry. Nice story though.

Mi naona hii fiction

Hekaya iko Fiti buda!

Hekaya iko…sijasoma bado wacha nikisoma nitacomment.:slight_smile:

correction:
Sausage Funga

I can relate. There used to be this club at Uhuru Park,I forget the name. Hiyo mambo ya kubebwa na wanawake used to happen a lot to broke UoN male students… I should know.

nice one

:D:D:D:D:D nice

Mimi sigwes leta sausage funga kwangu . kiatu ni no.15 custom made ata haitoshei kwa shoe rack .
[ATTACH=full]128437[/ATTACH]

4 Likes

Ungelipisha hio threshold. You cant compare free beer with threshold… Nothing’s for free son

Was in an almost similar situation, but mimi niliona viatu kabla kuingia nyumba. Alafu huyo dame ananishow, my husband is coming tomorow evening. Nikatake a fake call na kupotea hivyo. At the club I thought she was single.

1 Like

Wewe ulienda kuangalia fiatu au kufikisha threshold?

The shoes were outside kwa mlango ya kuingia. Giant shoes, and I am a midget.

UngeZitupa