Kiambu County Plans To Halt All Buildings Under Construction As They Review Their Paperwork

Kiambu has become the hotspot of building collapse. So the county gov is planning on reviewing all buildings under construction as a way to avoid further loss of lives.

[ATTACH=full]479707[/ATTACH]

An avenue for bribes, county officials know which building don’t meet the codes, lakini hizo ni cash cow zao.

Culture n iya kubribe kila mtu wa permits na kutumia shortcuts zote wakati wa ufundi.

Matokeo ndio haya.

Side effect za baba yao as gov ! Though nyoro was just another loud mouth uhuru butt licker

hii yote inaletwa na tamaa, contractors wakimalizana na architect na structural engineer wanawafukuza ili wasiwalipe. sasa foreman na mafundi wanafanya kazi wanataka mwishowe nyumba inaanguka

Saa hii itabidi we take matters in our own hands: if my neighbour starts building a highrise flat next to my kaplot nitaenda high court to compel him to let my appointed building engineers periodically inspect and approve/disapprove his building standards. Engineers wangu wakiona shida tu kidogo wapige nduru construction isimomishwe…sitaki kuangukiwa na mawe za 9x9 while sleeping

Ukitaka kupigiwa stamp yeyote Kenya unatoa kakitu, wheather the building meets the standards or not hiyo sio shida yao.

Hapa kuna watu wanafaa kunfungwa jela but as usual Kenya is failed state jela ni lodgng ya masikini. Saa hii walukhe ako home akiosha rungu after defrauding the State millions of Shillings.

#NIABM

The focus should now turn to those bribing. We should fight this sick culture from both sides.