Keshaa

Today is Thursday 29th December and I was feeling nostlagic about last year on 31st. So tumeenda ii kesha ya 31st na beshte yangu Amoski. Jamaa pia amelewa mbaya sana ju supper tulipitia kwa mama mongethiaa ndio twende. Iyo usiku sikuenda ndio niskie pastor kitu anasema. Ilikuwa niende nipate slice kamoja niende nilale.kufika gate nikapata watu wamejaa na mostly ni wanaume pia kama mimi wako na njaa tofauti. Kumbe Amoski alipatana na jemoo ule jamaa alikataa kumlipa deni ya kuku!Ngoja katambe!! Amoski alipigwa moja akaanguka chini akatulia mi nikaona niende zangu nimwache ju nilikuwwa sure ataamka badae. Nikafika mlango ya kanisa imejaa hadi nje mostly malightskin tumatacore kubwakubwa. Nikaona niende nitulize uko nyuma kwa store. Kufika uko sema kuonekaniwa!!! Kumbe ule mboch wa jirani nakuaga nimekufia alikuwa hapo pia yeye amejikunja kwa kona. “niaje mrembo”…nilimsalimia ka nameza mate flani iko na tuchumvichumvi. Moyo ilipiga nikiwa najishuku “poa”… alijibu ka ameangalia chini design ya adolee. Baas mwanaume nikachapa ma 1 2 na kidogo tulikuwa njiani tunaendanisha hadi kwa maduka. Nikamchapia aje ningoje hapo niendee kitu hapa nyuma kwa duka, na uchunge usibebwe na hao maboy wanakuaga hapa. Eyyy si manzi akashtuka akadaisha kunifuata nikaona ah kumbe pia mi nakuaga nimeiva mauongo! Kufika nyuma ya duka sikuwaste magethaa…nikamshika waist na nikauma shingo dem akajipa!!!Tulimangana apo kwa wall na kwa floor right into 2017!!!

3 Likes

It’s Friday 29th. Get rid of that Mayan calendar girlfren.

9 Likes

ok Friday 29th it is

1 Like

slice ulipewa nyuma ya duka:D:D umenikumbusha kesha za gachie 108

1 Like

sijui niende kesha…

:D:D:D lakini watu huku wako na maneno makubwa…

hii technique ndo inaitwa ninja mijistu??