hapa ndio nitaenda kumaliza 2016 charges ni ngapi. nitalala nyahururu.
Amesema 2500
2 Likes
huko 27th dec mpaka 2nd jan
Directions please… Hii forest hiko wapi!!!
I need go there with family… Guess it would be a nice way to get fear off the kid and her mama
[FONT=Courier New][SIZE=1]Are momos allowed? [/SIZE][/FONT]
nimepeana direction hapo juu…but to unaweza google map carbacid kwenye iko…zinakaribiana uko kwa msitu
nimepeana direction hapo juu…but to unaweza google map carbacid kwenye iko…zinakaribiana uko kwa msitu
momos exceeding 2700kgs are not allowed
kids below 7 years not allowed this year
2 Likes
I beg to differ. Please don’t misuse some words/terms.
Wacha wewe. if you are chicken hawawezi.