Kenyatalk heydays, what happened?

There was a time Kenyatalk was the real deal and to be a village elder you had to earn it. Sio kwa ubaya but the real kenyatalk is long gone. Juu ya hiyo story wacha nimumunye glenfiddich hapa undisclosed lokeshen, respect to all fallen soldiers ubaya Libation can’t be this expensive maybe ningekua namumunya jemison ya peasants kama uncle @uwesmakende ninge consider libation. Admean wewe ni humbwar ghaaaseeer, qoomernina, tacataka. [ATTACH=full]251794[/ATTACH]

Tiya rusha ya Jameson kama elder

Pelekea @Tia TV na PS4 yako akubuyie Jameson
[ATTACH=full]251798[/ATTACH]

Hio ni chang’aa ya hapa tu Kariobangi.

So yeye na @Colombo-Combolo mwenye anameza konyagi pale ksouth wako same ?

nyinyi watu mtapea @admin depression juu ya hizi majina mnamuitanga hapa

Kabisa khochez.

Bukusu ma nyawita, we fuo, chieth[ATTACH=full]251804[/ATTACH]

Anko kuja na prado tu trade in saa hii:D:D:D

:smiley:

Single malts huwa unforgiving on the tongue na njemson sio peasant drink!

Tafuta pesa wacha kusumbua.

:D:D:D

@Colombo-Combolo huwa huweziafford zile drink kubwa kubwa sindio? ndio maana unapost picha na hizi drink ndogo za bei ya basement

Kenyatalk iliisha vile watu waliwacha kuandika hekaya, wanakijiji wengi wakatoka kwa mfano introvert, bjurmann,kidinyi, na Mr slices alipopata kazi haukurudi tena. Halafu picha chafu zilipoharamishwa kijiji kikaisha.

Hapana, huwa zinakua na advantage especially locals za Eastlands,

  1. ukibuy msinga, Eastlands walai Kila mtu na glass kwa meza yako, you can’t enjoy man, further more am not there father or sponsor
    2.They are slightly cheaper if u compare the prices, eg, kibao 250ml@sh200 and kibao750ml@sh750, unaona ndiflence
  2. Mobility, I like them brief so if someone asks me to switch location, chap chap two mfukuni ama flash
    4.Risk. Imagine uko counter halafu kamlevi agonge Glenfiddich mzinga ianguke, hasara, ama uta do
    For me mzinga ni kwa nyumba ama location mbali, u get me

Fungua hio kitu hapo kwa offisi najue uko na MAKENDE…

Truer words were never spoken

Wierd pricing. You’d think ile ndogo ndio inafaa kuwa expe. A clear indicator that it’s Kariobangi GmbH

[ATTACH=full]251814[/ATTACH]