Kenya's political scene totally changed

Riggy G knows how to rub it in.
We never saw this before ata kabla JSKS wakosane na Konyagi…he was never into this save for that one time he hired a bombadier for 300K an hour
Past administrations hid such escapades from the public.

Huyu mzee ako on overdrive banae,wakitumia tax namna hii hustler atabakishiwa nini…

Ni uchungu jameni…ata kama siku vote ni uchungu

[MEDIA=twitter]1588084147976822784[/MEDIA]

Ruto wants his deputy to get drunk with endless glory and power, ndio ile siku ataambiwa ainame achukue sabuni ama izo privileges zitolewe, atachagua kuinama achukue sabuni.

Burning spear na mzee moi hawakuwa interested na izi vitu Gachagua amekimbililia

Mr Ibu and Kibicho used these planes hundreds of times na hukuwa unanyeshanyesha hapa. Just because they weren’t captured by the media doesn’t mean that taxpayer’s money wasn’t used. Heck even baboon alipewa despite not being a government officer. Sasa funga mdomo and set your kunyi properly for shafting

Wewe nawe toa kichwa kwa matako za hao watu,sisemi asitumie noo…lakini kutuonyesha vile anatumia mali yetu na ilhali wengi wanalala hoi…

Huwa unatibu nani by the way…i wonder how a daft guy as you anaweza tibu mtu…poor souls who land on your surgery desk

Wacha aonyeshe shida iko wapi? Why hide the DP’s official functions? Ikikuuma sana funga macho. Hakuna kubembelezana

Unajua hata janitor kwa hospitali huwa anaitwa daktari?

Irigathiless, sabuni atachukua…
Apende asipende…
And the mountain will be silent…
Coz it won’t know what hit it.

It’s not like he hired a private jet