[MEDIA=twitter]1575855789788475393[/MEDIA]
[MEDIA=twitter]1575868688749645825[/MEDIA]
[MEDIA=twitter]1575855789788475393[/MEDIA]
[MEDIA=twitter]1575868688749645825[/MEDIA]
Real inflation kwa ground ni over 30 % si hii 9.2 ya ofisi
Britain iko hapo na hawana kelele. You want to tell us it’s jsks fault na hajamaliza mwezi
Make more money and less friends
Amemaliza mwezi na upanga, kila jambo lifanyikalo nchini lipo kwake na kwake tu.
Hamna handsheki, hamna vita vya Urusi na Ukreni, hamna Marekani kuongeza kiwango cha riba…hamna.
Lipo juu yake.
Vita kati ya Ocenia and Eurasia must be funded by the colonies, the system must remain intact
I don’t want to imagine what the hustlers are facing on the ground.
Rustler naona itabidi nidai EI (unemployment insurance) pale Canada ni cushion hii inflation kwa ground hapa Kapedo banae. Kaa vile Ile time ya covid nili apply hizo benefits nikakula pole pole hapa Tiaty …
1984
hasoras tunaumia huku chini, rusha Jameson tupate usingizi