Kenyarra family getting all the bread.

Meanwhile nyinyi itabidi mkule keki kama kawaida :D:D:D. Ghasia kama @Jimit sai najua imekufa from green eyed envy.:smiley:

[MEDIA=twitter]1506833179382005762[/MEDIA]

Good to be king

Tombweni vizuri. Mumeshindwa kulipa Xi Jin Ping yet here you are flaunting . Lube imepanda bei baizewei,paka mate

Good investments right there.

Alafu Gideon akanunua power plant ya 80 billion juzi

waaaaah

Watu wakule ujeuri pole pole ~ @patco, 2022

Fr, kufanya kazi na serikali (either being an employee or business owner) has always been a nice venture.

I wonder why the local billionaires don’t flood our roads with rolls royces. Ama hapa wanacheza chini na wakifika Monaco na second homes in Australia wanachafua?

that bling bling nonsense is for chokoraas.

On second thought, agree.

Sisi Kenyan birrioneas are the most modest in the world. Tuko na billions lakini tunaendesha Tu Toyota

James mwangi huwa na proxy share holders alitoka na 1.5 billion

na kwa nini anauzia shamba moja watu watatu ?

Middle class wamekopa sawa sawa .

James Mwangi got 1.5B from his 500m shares hapo equity na hasumbui.

Alipata directors bonus ya birrion?

Hii ni kuonyesha electric stuff ni kama sure bet in next 30 years.

James mwangi alikula 1.5b. Ni watu wangapi hii Kenya wako na 1.5b in cash?

August is nigh