KENYANS NA POMBE

Soo jana asubuhi airtime iliniishia nikiwa kwa mat enroute to town so I stopped in town to buy airtime from some shop on some corridor along Latema road. Some guy came and without talking akapeana 100/= na akapewa pombe kwa tumbler, gulped it down in one go and off he went. Nikiangalia kwa shelves there is no sign of alcohol, ni vitu za kawaida za shop, mikate, soda, sukari, juices, sabuni and what not. So jioni going back home out of curiosity nikapita the same corridor, all those shops along that corridor kwa shelf sasa ni pombe tupu na walevi wako hio area ni wengi zaidi. The level of alcohol consumption in this country is too high, and with such joints I am very sure second generation spirits are back.

Ngombe wapi button ya “All Threads” ? hatutaki story mingi

Morning to you too @vuja de , the issue is being looked into. That language is uncalled for.

pole ngombe

Hii upgrade yenyu imetupata off guard. Turudishie ya kitambo

Some days ago i saw some 3 guys, big folks - looked like mid level managers - wearing shirts t-shirt and sandals.

They had a half bottle of viceroy and they were throwing it up and catching it as they went along; discussing how they’re going to “kunywa this botii and then ongeza anaa one…” very loudly.

I thought the same thing as you. Alcohol consumption is way high.

Wacha watu wakunywe hiko nini ?

Ofcourse hiyo ni pombe haramu

Round two ya kumwaga pombe imeanza in 25 counties Leo. Vileo haramu vimekuwa vikirudi mos mos. Angalieni kwa news jioni.

Io chochoro haiwezi kosa Mayai boiro na kunguru apo next building upstairs
. I guess we can say it’s the peasants Paradise

Sasa unataka tufanye nini *muthamakis voice

They are back full force

Hata mumwage tutalewoo tuu

Omwami hiyo ya pombe nimeiona south b place mimi hu do mpesa transactions. Kane au vodka kwa tumbler, maji au wengine wanailima neat. Hiyo tumbler inakuwa rinsed next for the next guy

Andrew Kibe and friends

Ya watu wa kutoa lock.

Hehe mjamaa una catch juu ya kuitwa ng’ombe?

Kuna mtu niliona aliita Admin “matako ya mchawi” admin akavumilia tu

:D:D ati nini ya nani

[ATTACH=full]161333[/ATTACH]

Walijua jiji kakangu

Somerset area