Kenyans complaining about women dying in the gulf na uku Kuna Waka moto

This post inalenga wasee apa ktalk wanadai kutetea wakenye gulf kapoti akiwa chairlady… keyboard warriors ndio jina Yao…I kampuni inaitwa kwa mkorea Iko ruiru sides…kabogo akiwa gavana alijaribu kuteta Sana ju ya I kampuni…shitty working conditions,shitty pay and now this…Workers from the Angel Lotion manufacturing company have called upon the director of criminal investigations to conduct, an investigation in order to find out what happened to one of their colleagues who allegedly collapsed and died within the company after being denied the chance to go to the hospital.

Photo :Courtesy

According to the reports given by a reliable source of information, it has been revealed that the deceased who has been identified as Margaret was allegedly stopped from going to the hospital by her boss due to the fact that she had not finished her job.
Kapoti so you get your head out of your ass just know this is the way most employers treat Kenyans in Kenya before uanze kuteta ATI waarabu wanatesa wasichana wetu:cool:

Pia kuna yule jamaa alianguka kwa boiler ya chuma huko Thika.

Siku hizi mi huangalia employers na naona nikama wanataka free labour.

Yes man very sad sijui walipata kidole ama Pete…do you know workplace injuries or deaths in countries with working labour laws are get rich paths for the victim/deceased family…uko thika walikuwa wanapewa sijui 200k

Slavery is back in full swing

Walipata kidole

Watu wafungue companies zao. Halafu waache kupiga kura na matako.

Apo sasa wakenya walisema ikifika elections akili zinaenda leave wanatunia matako…ktalk is the best example nilikuwa nafikiria wengi apa wataona thru I assmio-kino Moja bullshit lakini wapi…akili ziko leave

Akili zinaenda leave

slavery goes on in kenya ata saa hii …people are being exploited huku nje like animals

If you can’t take the heat get outta the kitchen man. Lazima tutumie bonobos like they supposed to. Fuck morals … a good bonobo is a working bonobo bursting his ass to make you rich. All you gotta do is think and let em’ do the heavy lifting.

There is no salary that can compensate a toxic work place

Kenyans love sensational news,the more people and the interwebs vent ,hutakosa wakenya hapo. Hamuitwi bonobos bure

Mkorea amehakikisha ruiru hakuezi kosa mali safi kamwe…4.30-5.00 pm Barbara hufungwa ili wavuke mpaka kitu 6.
Anyway, chaguo ni uuliwe na kazi ama njaa.

Apo Kwa Mali safi ni ukweli ao masingle Martha wa uko wana gawa kugawa:D:D:Denyewe ndio nasemanga I Kijiji hauwezi kosa mwanakijiji mume salimiana

We pia ni bonobo I thread na ya wale watu wanajua kufagia Kwa wenyewe(gulf)waki wacha kwao na takataka

It’s harder than that . How do you remove people like Atwoli from COTU. Anyhow unions za Kenya ni za kishenzi just like the shitty political parties.

Pesa yao ni tamu,yenyu imejaa swara na jiggers:D:D