Kenyans, also want AIPCA to refund the 7M like the catholic bishops

https://x.com/i/status/1858743847968256227

1 Like

Hawa vile wana clap hivi wame shaa kula hio pesa… Hawa hawaezi rudisha…

1 Like

Church is a scam

1 Like

AIPCA na ile nugu ya Jesus Winner hawawezi rudisha doh ata kwa dawa

1 Like

Kanitha Ka Indi wako greedy Sana.
Hiyo hawawezi rudisha.

1 Like

huyo jamaa ni mjinga

2 Likes

AIPCA hawawezi Rudisha since the name means. AIPCA After I planted Conmen Arrived.

1 Like

Ni kamtu kaumbwa sana and his followers can die for him

1 Like

Independent church ni wakora sana hawawezi rudisha. They always bootlick the government of the day

2 Likes

Na naisika na vile Jambas amegeuziwa, jambas alidhani kenya ni uganda na anaweza cheza kimuseveni…

1 Like