sooo unfair,mie last month ndo nilopata kwenye mlihamia, couldnt post anythin since its imposible to register using a phone . leo ndo nmeenda cyber after kuuza nyanya zangu pale makutano,since mie tulianza nanyi kitambo i deserve exemptions n be a senior villager by tmorow, nikaribisheni na malikes
moja ya huruma juu umeomba sana…
entry exam…
Nani alikuambia pahali tuko
na kuna mtu alisanya handle yangu
Ubaya hatuwezi double like. Karibu
karibu sana, @Guru enda jikoni uletee mgeni chai na ugali ya jana
@sunnymango, there’s a mod whose much in love with bananas and mangoes
Admi. . I want this peddler wa manyanya to be a senior before the big hand is on the five tomorrow!
Hata mimi amechangia wewe like 1.
Hehehe,thay was my biggest worry nikiingia huku
but i haven’t found any animal using it for those 2months i’ve been around!
gashwin,Hakimoto,boi kamiti n others asanteni for the warm welcome!
@Gaza, hope mundu mulosi aka Gustavo ameskia hayo
niligoogle jina wanderi nikapata alidie then the good google also suggested a kenyatalk thread which i clicked nikawapata
Mimi nilienda fan page ya klist kuuliza what happened?? nikawekewa link nikaambiwa,“kuja huku” .kuingia,i looked around and smiled
then my graduation is guaranteed
Nani alikuwa anakukamua em days
:D:D
yaani ushamake villager, wewe ni the luckiest NV ever