Kenyan proverbs

Kata simu nishakuona

Acha aende tuone pahali atafika

Hata si msupuu vile (after kulengwa na dame)

Niko na tei, tafuta madem

Niko hapa karibu, nipe dakika mbili mitakuwa hapo (then takes 15mins)

Uko na credit kwa simu yako ni flash mtu, yangu imeisha moto

Hata nilikuwa nataka kukupigia

Aki nitumie kwa whatsapp please & ingia whatsapp

unakuja kunitembelea lini?

na siku hizi umenitupa…ni sawa tuu

unabuy pombe lini? / si unitoe lock

Enda ukuje tutaongea

Uliwatch game ya jana? jana tulichapa Liverfools two zero manze

Add more

3 Likes

Oya mbuyu, za macho?

1 Like

Si unikopeshe nitakulipa

nimekuonea mbali ,nnje ya 18. …

2 Likes

naendesha gari ntakupigia .

1 Like

Game moja tu iliniwaste

8 Likes

NIKO KWA KELELE NTAKUPIGIA

KUJA TU TUONGEE KWANGU SITAFANYA KITU ( unaambia dem)

nchi isimamishwe tushuke…

1 Like

girl calls

Actually I was just thinking about you

4 Likes

Ntaingiza kichwa pekee

10 Likes

mbuyu anaenda job 5 then 2hrs later when on yr way to college unaskia sauti yake CLASSIC 105 “Wacha nikuambie Maina”

6 Likes

conductor.: hapo nyuma…
passenger : utapewa mbele.

5 Likes

Umemwaga?

5 Likes

kuna kakitu nangoja kwa mpesa/kaive…

mpenzi wako ako na mpenzi mwingine…

huyo hana kakitu…

6 Likes

:):slight_smile: kuna babu alisema kuwa hicho kichwa hakina mabega.

3 Likes

Hii Kenya iuzwe na kila mtu agawiwe pesa

1 Like

hehehe…
yeye hanijui aki ya mama/mungu atanitambua.
nimechelewa kwa jam
wacha tu enh… enh… wacha tu.
ngoja kidogo

2 Likes

Simu ilikua silent

Ni kung’ang’ana tu

Kimeibiwo

7 Likes

aki sportpesa ni game moja iliniangusha