Kenyan man proposes in a chopper

[MEDIA=instagram]CSchEjaL3F7[/MEDIA]

kubend knee bado si poa

[SIZE=5]Hii tuliona circa 15 BC[/SIZE]

Tuliona kunguru Mary akikula Joseph vako kuwa mimba ni ya sir jah na huyo beta male akakubali

Tumeona mara tatu sasa
Hiyo ni sataafrika boss.
Ya kenya iliwekwa na mbuutaa nikidhani na ikasemekana ilisha na premium tears

Old news. Mafi wewe

Kinyozi unalala saa ngaoi na unanyoa fudhi saa ngapi? Unapata ata time ya kuenda choo?? You trying to break a record or something?

wewe umbwa pitia thread kabla urudie story ghaseer takataka…

Hii tuliona kabla hujatokwa1.5 Million Ugandan Shillings na Malaya wa downtown

Upusssss

Wataachana tu. Just like Sharon Mundia and the dawuo

The plate on the plane says zulu sierra or zs. So it’s not Kenya where most things are 5Y