Kenyan flexes zile zilisha fashion

Nakumbuka early 2000’s na late 90’s cool kids wa hizo enzi walikuwa wanaflex na kwenda Race course kuwatch Polo na horse racing, watching cricket pia ilikuwa popular n cool kids wa hizo enzi siku hizi hakuna MTU anashughulika sana na hizi vitu. Hizo enzi watu kama @Tom Bayeye wangetrek kutoka kibich ndiyo wa watch horse race from fence alafu arudi kibich kuringia watu wa Huko.

[ATTACH=full]469584[/ATTACH]

sasa unataka tukuchinjie mbuzi?

Niaje lawyer wa Nairobi Aviation college

kabla watu wajanjaruke summer bunnies sana sana wenye walifanyiwa harambee kuenda amerika walikuwa wanaflex na hizi vitu na saa hio hawana kakitu. summer bunnies ya ndumberi na githunguri walisumbua sana

[ATTACH=full]469588[/ATTACH]
[ATTACH=full]469587[/ATTACH]

[ATTACH=full]469589[/ATTACH]

Aren’t those bluetooth things back in vogue only now dangling from the ears

Hio durag ni ya @uwesmake, na bado anavaa

I was one of the coolkids pale ghetto na bmx yangu

Late 90s/early 2000s DVD player ilikua ya masonko. Kuna ghaseer zilikua zinazunguka mtaa kama zimebeba movie moja ya DVD kutangazia raia ati wako na hio mashini nyumbani :D:D:D:D. Sa hizo wengine bado tunapambana na VCR ama VCD. Sikuizi DVD player yangu ata sijui nilitupa wapi. Kuna ingine huwa ocha but the last time I physically operated that thing must have been 5 years ago.

mimi ni auctioneer mjamaa.

[ATTACH=full]469595[/ATTACH]

Who remembers 05 jeans

Bandana ya crips, bloods, ama us flag. Pia tucking in t shirt to show off big buckle.

Kulikuwa na hii pia (discman)
@kush yule mnono hii unaeza kumbuka kweli
[ATTACH=full]469626[/ATTACH]

Kenyans wakatoka hapo wakaingia hapa

[ATTACH=full]469627[/ATTACH]

:smiley:

Mountain bike ya gears.

Bado nko na yangu ya panasonic … nliangukia kwa mlami fulani pale Lavington

[ATTACH=full]469763[/ATTACH]

Hio unafaa kuiweka kwa archives inakukumbusha mengi yaliyopita

Wacha tu

Nilikuwa natesa sana na discman ilikuwa inacheza vcd. That disc man had a remote. Hakuna msee alikuwa ananinauo kijiji mzima