Kenyan DJ's Suuuuck

Aaaaaaaand teeboy just joined the rest in the hall.

Hiyo HipHop scratch mix imeharibu.

mara ameweka sound effect za glass kidogo vuvuzela seconds later ndio huyo amewakumbusha jina yake na handles zake zote kwa shoshio media…huwezi enjoy ngoma in peace [ATTACH=full]170085[/ATTACH]

Ni ngumu kupata DJ ako all rounded with all genres of music, na hio mix pia alifanya kitambo. Halafu kama unajua decks you know its tiresome, hauwezi scratch continuously for like 30 minutes, vidole zitaumia

Sio kuwatetea, but hivyo ndio kutafuta unga na events. Iyo field iko packed kama ya computer packages

Manager wa 91.5 FM ya homeboyz. Sijui kama iyo station bado iko

https://www.youtube.com/watch?v=i9Iq0eW0Yww

Kenya has a lot of talented DJs. Shida is that many events, clubs, and radio stations don’t pay well.

Kapsaa, na izo scratches ni za battle tu. Ukienda club na izo then utabore. Watu wanataka uwaeke ngoma wadance. Na vidole huchoka pia. Kama iyo ni 10 minutes pekee

Huyo DJ yuko ON FAYYAA!!!:D:D

9 minutes

https://www.youtube.com/watch?v=8axGn8Fab9M

2 minutes

https://www.youtube.com/watch?v=rN_kU9tSb-8

https://www.youtube.com/watch?v=XIoh5X0nUQE

Dj Kalonje really is the worst DJ in the history of Dj’s.

Simple Simon, Dj Wesley na DJ Creeper wako juu sana lakini.

Hao wengine wa sound effects hata sijui kuwatofautisha.

My favrite wa majuu…he mcs, scratches,a producer, remixes… all rounder…30 minutes plus

https://www.youtube.com/watch?v=vgWniXvBiIA

https://www.youtube.com/watch?v=HqocjHNu8EQ

ONLY IN A BATTLE

Alafu unapata dj wengi kenya waki toa mix old school lazima waweke the same songs kila wakati eg kama utapata wameweka dear mama ya 2pac karibu mix zote.
Kuna tuold school mixes nikiskiza ninaboeka juu zimekuwa mixed sana by almost all djs huku.