Kenyan diss tracks: Chiwawa - Tunaendelea

Klepto hawangewezana na huyu executioner. Walikunja mkia after this track came out.

“…hamuezi rap ka mimi, pigeni tizi hadi mpate blisters kwa ulimi…”

1 Like

ate ke?
skia hii flow

2 Likes

Haikuwa mbaya. But Chiwawa’s reply to this was just pure lyrical venom. No wonder they didn’t respond to it. They couldn’t match this guy’s appetite for war.

6 Likes

Chiwawa alikuwa beast back then na madiss

2 Likes

100%. From Klepto to Mwafrika to Abbas. He’s the grim reaper as far as Kenyan diss tracks are concerned. Octpopizzo is a close second but Jones didn’t put up much of a fight. Chiwawa all the way!!

4 Likes

Hehe very true.Bila Chiwawa Klepto hawangejulikana.Diss track yake nakumbuka ikichezwa na Eve D’souza pale capital fm hits not homework kama imejaa ma censors kama mia

2 Likes

Hits Not Homework was a top tier show. Hip-hop heads lazima wangetune in. Afternoon Switch ya Metro FM ilikuwa faaya pia. Dan Oloo alifanya.

3 Likes

Back when radio was radio…

4 Likes

Hapa Dan Oloo alikuwa anafanya kazi safi sana.

3 Likes

Lakini bado hawafikii flow kama hii ya zama.zake.

Sikiza climax yake hapo Kutoka 3:21

1 Like

Kwa dis ya Mwaf, Chiwawa alitoa line ati @slevyn amejifungia foreskin kwa zipper…that line scared the shit out of Mwafrika…he never responded

1 Like

sema tu unataka foreskin kwa mdomo yako juu unanyesha mavi… your obsession is a clear indicator you sodomite

:rofl: aliskia amereply akashindwa aende kwa studio ama akae. Mwafrika’s “peace song” ilikuwa kali pia but he dissed the wrong guy. What a waste.

1 Like

Bana whipped wardhes for nothing

1 Like

Chiwawa aliwa behead akarusha vichwa zao indian ocean maze

1 Like

:green_emoji: :green_emoji: He did the same thing to Abbas and Mwafrika. Strategy yake kwa hizi beef ni: Chokoza, reply, end of beef.

FBI Part 2 ilikua ngori.

1 Like

In my opinion abbas nailed chiwawa kwa hiyo diss yake shots

1 Like

Alitry lakini diss huwa na impact kubwa zaidi when infused with real life aspects za opponent. Hiyo beef yao ilinifunza that it’s good to keep your private affairs under wraps else utajuta.

1 Like

Walikuwa mabeshte wa dhati so tym kalinuka ni kushambuliana

1 Like