alimpigia simu wakamwambia wameteka-nyara ma-chiefs ndio asiende Mandera??? Ama alijua aje iyo ndio ilikuwa lengo yao…?
Halafu even after that akaenda na akalala - a president - oliskia wapi! oliskia wapi???!
piki piki ponki…
1 Like
Kasongo sponsored abductions. Msee hawezi wacha sarakasi and work. Msee nka anapenda attenshen sana.
his real calling is to be a movie director