Kumbe that’s why its important to put on an element :D:D:D:D:D:D:D
I thought boda huwa na insurance…
Yani hawezi kua wa Muranga au kiambu ama ata kirinyaga? Mnatuoneanga sanao_O
hefhehe…
si kuonewa mami. ni ukweli wa mambo.
mimi ni wa nyiri mathira so najua wanawake wa kwetu take no nonsense.
hujawahi chapa bwanako?
AAA apana sisi wa othaya no good people, bwana siwezi chapa,he is good people but akawainigonga ntamwaga shower gel nje ya bafu akioga, hehehe
hehehe…
karima ama wapi?
na yeye akiamka akuringe ta kindu gigukua arie.
kutandika bibi ni kitu ya kawaida. kwanza wale wana kiherehere
kumbe hivi ndio wanaume hukufia kwa bafu…even after buying a rubber mat.
chinga.
Hatajua ni Mimi nimemwaga atapata mtoi ameshika chupa ya shower gel;)na akianguka nitakimbia kumuokota like the loving wife I am hehehe ( nanajua amesoma hii)
Nyeri gals know their space. Wakwetu metumi, wooi, hatunanga say.
I doubt, killing him wouldn’t be my intention.
hehehe…
so if i ever have accident in my home i should form a inquiry to investigate?
this is why i still continue women are far much inteligent than men.
poor us.
sceptical eyes to accidents from now.
Mwanamke ni kukua kichwa ngumu he he, ( my husband amesema jichoche tu vile ameona nikiandika hii)
Your husband = @Meria Mata
He he I tell my man, God gave you muscles and me, an imaginative mind … He he but si ati unajichoma na lighter ukiwasha sigara unasema wife ameorganize
Aaaaaaa no Meria was past his teenage nikizaliwa
:D:D:D:D:D
@admin naomba uingilie kati
Lakini hiyo rungu, anashikaje kama ni mwiko?
How do you know???
Who else could have seen her post that fast?
Kwanza na left hand, unless ni m-leftie