Huku watu wanapiga nondo kisawasawa.
Uhuru huku ni mkubwa, hakuna Monopoly au Censorship.
JF tz hata ikirudi lazima itaweka FILTER ya post zenu.
Ushauri.
Kenya Talk waondoe jina la JF humu kumuenzi Max Melo. Waandike Bongo Forum au Tanzania Forums.
Ushauri mzuri…
majamaa yanatukana matusi makavu bila kupepesa macho na hakuna hatua yoyote.
KT inaonyesha kabisa JF inaonewa, kule tunalelewa kwa tahadhari nyingi lkn bado inaonekana haifai.
du!!!
Mods wa huku…siwaelewi…yani JF ilitufanya tujadili hoja sio matusi