Kenya talk format

What the ferk is happening here?
Everything seems to have changed.

how, where when

What has changed? Looks same to me.

umelewa

Inaitwa disorientation.

Tukiwa high school Deputy Headteacher alikuwa amenunua kagari juzijuzi. Teachers party usiku. Deputy head teacher kulewa sana.

Kuenda kuchukua gari kwa ngiza akaingia left handside.

Heheheee…

Akatoka nje ya gari akarudi staffroom kuambia headteacher steering wheel imeibiwa. Alinyang’anywa funguo.

You’re home, go drunk!

Excessive wanking causes partial blindness. That’s a scientific fucked.

Effects of eating kuber and paan

I noticed changes to the site when I could no longer post on my phone. an itel mulika mwizi. I had to get a smart phone na vile huwa sizipendi. ferk

osheni jamaa cornea

Home kukoje bro?

Kuko poa, heavy rains from around 4 but you know there rain is a blessing sio kama ile hunyesha Nairobi watu wana curse.

:D:D:D:D:D:D:D phombe ipi hii?

To the rest, I had accidentally switched to dark mode while ktalking on the move.
Laleni salama lakini mshindwe zaidi.

Dark mode ni ya zombies na masaitan. Ushindwe. Saitan.

Bangi iwe huru

:D:D:D