Kenya mpya

Who will put some sense on these bus drivers,moja kachapa mbavu ya gari ya beste yangu,then then karao ni kama yuaside nao.

Kutoka Lini Gari kapta Mbavu ?

2 Likes

Heheheh kwa side basi

zusha zusha.
chukua badge nunber ya huyo karao na mapicha za incident scen tuma kwa IPOA. huyo karao atakupigia magoti

1 Like

Wame negoo na boy wangu akapewa kapa kumi na mwenye basi kesi ikaishia hapo.Mwenyewe amedai dere atalipa hizo doo kivingine.Unaweza zusha ufanywe kina Willi Kimani style

1 Like

Cops always side with matatu drivers however right you were. They eat from matatu drivers daily and from you they get nothing. I learnt that the hard way after I was side swiped by a Rongai sacco matatu at the Bunyala roundabout. The cop who turned up ni kama alikuwa amelipwa, he didn’t want to hear anything from me.

Poor us,sadly the vice is deep rooted in the traffic sector.I have seen the same with motorbike guys,even though most of the time they are on the wrong their victim end up suffering

Kidero investment. .keep off

bila mbicha enda ujiuwe

Usipeleke kwa IPOA pelekea Kavulundi na ubadilishe story vile walinibadilishia story.

Or if he’s a nutcase…Ewaso Ngiro