[MEDIA=twitter]1641047430232719360[/MEDIA]
Wanaallocate office of the DP pesa, Gachagua anapeana in those donations! Alafu anaitisha ingine.
The school needs a library not a wall. Hii upus ya walls even in rural areas imetoka wapi? The current keiapple fence is sufficient and beautiful. Why waste money to replace it with some ugly stone wall?
sioni makosa
Anarudisha mkono Kwa voters. Nothing wrong
Shhhhh wacha riggy G anukise otunguu
Anafuata “nyayo” za babake … Mzee Moi
hiyo tender ya wall inapewa “roco contractor” akili mtu yangu!
Nitakupatia email wewe!
Wameambiwo wachukue 500K, 9.5M zirudie jagathi
There is no 10m perimeter wall being built there
Na ukisema hivyo anus lickers @Kennedy Maina wanasema wewe hujui vile bei ya ukuta imepanda
No Handshake,
To stop entry of Bangi