Kenya kipenzi changu

Washikaji na washikwaji leteni hizo Patriotic songs tuskize. Leo ni ile siku Kenya became a Republic (Jamhuri ) in 1964 after attaining self governance in 1963.

Wachangunuzi wa Historia pia mwakaribishwa. @Meria Mata tuletee early TBT ya Mau Mau struggle.

https://www.youtube.com/watch?v=eClnMxBI940

3 Likes

Leteni hadi za tawala Kenya, growing up, all we knew was Baba Moi.

2 Likes

https://www.youtube.com/watch?v=9y3MLoQJFyU

1 Like

Ile ya wanataka kunyambia kenya ikam.

1 Like

:D:D:D:D:D
Huyo msee alikuwa juu.

Kaikai, Kilimambogo boys Band.