Kenya high dining hall

2 Likes

Tiaty kwa kina rustler hakuna hata shule banae. So wakikuja jengea watoto wa kitugen na marakwet in our land shule, alafu tachome … sioni shida iko wapi.

1 Like

What of those communities mnasanyia mifungo turn into crop farming na waache mambo ya ng’ombe what will the illitrate hostile bandits steal ?

Kenya High fees ni 150K a year and its a public school yawa!

2 Likes

Unfortunately, unless they use irrigation, that semi-arid area can’t sustain any crops! The only semi-arid area viable for cro0s and its actually farmed is Marakwet coz of water from Rivers like Arror!

And yet those Kenya High kids are gauged using the same metric as Turkana children who eat once a month

These kids are eating like kings. 10 o’clock ni tea, cake, mayai, and oranges.

2 Likes

Kwani mlisomea wapi ndio mnashtuliwa na mchele

2 Likes

Hao watoto wa Kenya high wanakula vizuri kuliko ktalk elder birrioneas yawa!

7 Likes

kwani examiner ni weight ana test? chakula inaingiliana wapi na masomo?

io watoto wa kenya high wanalishwa starch mingi zaidi na si poa kwa health yao hapo badaye.

Kwani wewe ni fala nini?

Acces to Food is a global metric on matters such as HDI. Wewe unadhani mental status ya mtoto anakula 3 or more meals a day iko sawa na mtoto anaenda kichakani kutafita wild poisonous berries wachemushe wale waharishe then waende shule na wachunge Ngombe barefoot.

One kid eats balanced diet 365 days a year while another feeds on donkey and dog carcasses and studies under a tree na exam ni moja

2 Likes

I didn’t know that water melon and chicken are sources of starch.

Turkana kuna samaki.

Okay, let me upload pictures of Turkana eating rotting carcasses utuambie kama waliconfuse dead donkeys na samaki.

images (2)

Turkana Woman and kids eating five course meal

wanakula rotting carcass kwa nini wasichinje akiwa bado iko alive? watu wa turkana wako na resources zote zenye wanahitaji. mifugo wako nayo worth pesa mingi kuliko mahitaji yao ya kimsingi. Kama wameamua kuishi bila kutumia akili, ni shauri ya nani? county zote zinakuwa allocated pesa enough.

kama mnyama wa msituni anajua kutoroka game park chakula ikikosekana, aende ile area iko na chakula, sijui kwa nini binadamu wa turkana anakaa mahali moja akingoja kifo.

1 Like

Their dad waiting for an Amazon package outside his mansion

Wakichinja how long will it last?

All comes down to NIABM

Speak for yourself

kuchinja inaeza maanisha wauze, wanunue unga, wanunue cabbage, wanunue sabuni. unapata at some point mtu ako na mifugo worth over a million na haezi uza asomeshe watoto, then kiangazi ikifagia ao ngombe wote mtu anaanza kupiga kelele eti asaidiwe.

binadamu kama hawezi fikiria, hana maana kwa society. na ivi karibuni ataangamia.

ile speed dunia inaenda, watu wa turkana wakikosa kubadilika wataisha na wasahaulike

My wife alisomea Lugulu Girls.

Githeri lunch daily from January to December

2 Likes