Kitambo stima pale gicagi ilikuwa inakuwa tu kwa chief, the village shopkeeper (who used to charge the whole village phones) and maybe that doctor from Nairobi who visits the village during Christmas only. Sikuizi hata tucucu wajane wako na stima wanawakishia kuku na ngombe zao. Uhuru alifanya kazi. @Ndindu na turedio @Electronics4u can recall
[MEDIA=twitter]1644256584644587521[/MEDIA]