Kenya 7s yaendeleza makamuzi

https://pbs.twimg.com/media/DVEPliQX0AAElh0.jpg:small

leo mnamo saa saba na dakika hamsini na saba kenya imeibuka mshindi kwa kuipa samoa makamuzi ya hali ya juu. Kenya 19 samoa 14.

Picha kwa mujibu wa supadipu lenisi kwa udhamini wa @T255

https://pbs.twimg.com/media/DVEEFQ5XkAApWu2.jpg:small

15 Likes

That’s good news keep it up Kenya Sevens

1 Like

Waking up to very good news. #Kenya7s win two first games KEN 19-14 SAM KEN 19-14 CAN Final pool game vs USA at 8.22am

nipewe rink niwatch hiyo game ya shujaa na USA tafasareee

The kenya we want

Kenya 19-USA 19
We top the group we place either Fiji/Australia in main cup quarters

Australia it is, na wako form ile mbaya.

But we can beat them

swafiiiiiiiiiii

Thats great news