KeNHA cancel KSh38.7B Kiambu Road expansion tender

Kwani are they doing roadworks kangundo road?

1 Like

… hapo bypass na past bypass on your way to Ruai. Upuzi, upuzi mtupu.

1 Like

OK. So how have you benefitted from the Eldoret southern bypass all the way in Kikuyu town?

:joy::joy::joy:Hata mombasa road wameongeza lane moja , hapo standard alafu wameplast trench inakaa vibaya

Hizi tenders ruto anapeana nikama ziko na overvaluation
, on 1/5 of the amount ndio inatumika, hio ingine inaenda kwa mfuko za watu

1 Like

Wasee wa Joska, Kamulu na Malaa ndio walinunua ma buroti maguta maguta hence the heavy traffic. Plots used to sell for like 150k afew years back. Ilileta msongomano wa magari hiyo rd kwanza hapo Ruai bypass ilikuwa ngori before wapanue

2 Likes

By the way after kupanua hapo Bypass Ruai traffic seems to flow even during peak hours.
I frequently pass there a lot nikielekea Mutalia and have noticed marked improvement since the expansion.
Halafu wamesort drainage kiasi.

Siku hizi nakula nyama pale kwa Ma Dauwo in Kamulu without a worry of being stuck in Ruai on my way back.

3 Likes

Kwanza weekends it was bad… kutoka huko Bypass hadi huko chini Quickmatt kwa Mosque

2 Likes

Mtingiza unajificha area gani za ruai ama wewe ni jirani na sijui

2 Likes

I first stepped my foot in Ruai in 1999…buroti we being sold like 150K back then…i was still young…the whole place was full of sisals and major activity ilikuwa kupiga mawe kware…hata Bypass hikuwa imechimbwa

1 Like

Sahi buroti maguta ni in terms of millions.

1 Like

they should design that part to enforce two way traffic, wameweka signs but kenyans ni wale wale, breaking rules na vichwa ngumu, sana - but the addition has eased traffic hapo - so a good thing nonetheless. I fonly they can put in the design to force that 2 way itakuwa smart - but I think its still work in progress

1 Like

Barabara walitengeneza na ikona potholes mingi

My trucks don’t break down. Is that a good reason ?

It’s an AI generated reason.