Wadau wenzangu tuzungumze hili Jambo linani khera kwa muda mrefu saana,
kuna magazeti ya kenya ambayo wanahisa nyingi saana na TABIA ya kutubeza kwa kila jambo tunalofanya…wamekuwa wakilinganisha na kwao…kila kukicha na jaribu kujiuliza motives behind…kwa mfano hili nalitoa kwa gazeti la nation
…Kenyas status as the regions logistics hub has again come under threat after Tanzania signed a deal with China to set up the blocs largest port and expand Dar es Salaams main airport.
Kwa maoni yangu hatushindani, bali
Tuliwapita kitambo na tuwache wivu wa Penni Mbili.
Kwa hayo machache tujiburudishe na dada wetu bi Neema Tunzo na simu ni 0658948988 kwa walafi wenzangu.
[ATTACH=full]47258[/ATTACH]
He was having an argument with Randy then forgot he had logged in with his bingwa scrotum acct and this happened. He deleted the reply bt the quote is evidence
[ATTACH=full]47263[/ATTACH]
Nioneshe kaka Kama Mimi huyo bingwa watajataja kelele za chura aisee. Funga mdomo Kama huwezi kutoa mjadala wa maana. Nyinyi ndio wakenya wapumbavu na wafuata wakoloni.
Mtu kusema he forgot to change your handle sio evidence hata kwa koti. Mwaleta rumors hadi mnataka iwe the truth. Sawa basi mi bingwa. Furaha kwako najua. You hit the nail sio