KELELE ZA CHURA

Wadau wenzangu tuzungumze hili Jambo linani khera kwa muda mrefu saana,
kuna magazeti ya kenya ambayo wanahisa nyingi saana na TABIA ya kutubeza kwa kila jambo tunalofanya…wamekuwa wakilinganisha na kwao…kila kukicha na jaribu kujiuliza motives behind…kwa mfano hili nalitoa kwa gazeti la nation
…Kenya’s status as the region’s logistics hub has again come under threat after Tanzania signed a deal with China to set up the bloc’s largest port and expand Dar es Salaam’s main airport.
Kwa maoni yangu hatushindani, bali
Tuliwapita kitambo na tuwache wivu wa Penni Mbili.
Kwa hayo machache tujiburudishe na dada wetu bi Neema Tunzo na simu ni 0658948988 kwa walafi wenzangu.
[ATTACH=full]47258[/ATTACH]

Mimi wenu @Mtanzania Magufuli

@Mtanzania Magufuli = uncle @uwesmake.

Huyu Ni @Ice cube. Meffi

He was busted jana…go thru his listings…he is bingwa scrotum

By the way there is a very good pub on the Eastern bypass near kamakis called @Jirani’s
Uko na shares hapo?

He was having an argument with Randy then forgot he had logged in with his bingwa scrotum acct and this happened. He deleted the reply bt the quote is evidence
[ATTACH=full]47263[/ATTACH]

Mkuroga meffi at it again hauchoki!!!

Nope

Nioneshe kaka Kama Mimi huyo bingwa watajataja kelele za chura aisee. Funga mdomo Kama huwezi kutoa mjadala wa maana. Nyinyi ndio wakenya wapumbavu na wafuata wakoloni.

Nauliza swali ni jibuu. Leo tena mwasema magufuli alikataa kuenda uganda Mara tena rift b2n Sisi na hao.

Hawa ndio huchapwa na bibi alafu anakuom kutoa mashungu hapa kijijini wakijifanya majogoo.

Mtu kusema he forgot to change your handle sio evidence hata kwa koti. Mwaleta rumors hadi mnataka iwe the truth. Sawa basi mi bingwa. Furaha kwako najua. You hit the nail sio

Asanti ndugu huyu @Jirani twasema ni rumors mongers

Sina ubaya ni vidokezo tuu wangwana

Boss. I AM REFERRING TO YOU!

Sielewi basi lugha lako la Kiswahili. Hapo umenibwaga na huo Swahili bandia. Jaribu kingereza

Konyagi natengenezwa na nini nipe patent na ingredients nifungue branch huku

haha noma

Hehe … jaluo in da house. Niaje bingwa scrotum